Wednesday, April 01, 2009

LONGOLONGO

Jamani baada ya kupata mafundisho miaka mingi iliyopita, nimepata tatizo naomba ushauri. Hivi amru ya usizini ni ya ngapi katika vitabu vya dini, ya sita ama ya Saba? Naomba kutoa hoja inaruhusiwa kuweka reference hata kwenye .com.

6 comments:

Anonymous said...

“You shall not commit adultery” This commandment Mostly depends on your religion/denomination, For example Jewish, Orthodox,Anglican, Reformed, and other Christian It is the 7th of the Ten Commandments. But for Catholic and Lutheran, it is the 6th of the Ten commandments.
I hope umenielewa mdau
God bless
DM II

Anonymous said...

yeah, that's true. depends on which version of the Bible you are using. being the 7th in some other versions and the 6th in the others should not buffle you. the most important thing is the content of the commandment itself which is not different from whichever version you are going to use. you just don't commit adultery, period.

Anonymous said...

Mzee amri kumi ambazo Musa alipokea zilikuwa zimeandikwa kwenye lugha ya kwao, kumbe mpangalio wake unategemeana na translation iliyotumika. Mfano, in Hebrew "Adultery" ni amri ya sita, kwenye Aramaic ni amri ya saba, kama alivyosema mdau hapo juu, nadhani kuwa ya sita au ya saba hamna umaana yeyote cha msingi amri ni hizo kumi na "Adultery" ni moja wapo. Kaka Biblia imekuja kwetu kutoka lugha mbalimbali na hata maana ya maneno yanabadilika, kumbe ujumbe ni ule ule, mfano ukienda kwa wenzetu Somalia hawana neno la "theruji" in English "White than snow" kumbe translation ya wenzetu in Somalia wanasema nyeupe kama maziwa.... angalia hapo...samahani kwa kuelezea mambo mengine, ni kwa kuwa tu mimi nasoma Theology hapa Germany, kumbe hapa ni mahali pangau.
Nic

Unknown said...

mhh mbona utata,mi nilikuwa sijui kama hizi amri zimejichanganya chnanganya hivyo,soo kumbe amri ya sita kikwetu huku.ukiwa mamton ni ya saba.makubwa!!!!!
Content ni ileile lakini haikupaswa kuwa standard?kwanini 6huku na 7 kule,kama kitanu ni hicho hicho,waandishi ni walewale.
Kunahitajika malelezo kina kidoooooooogo

in JESUS s name,
Amen

chib said...

Wazinzi watakuambia amri hiyo imeshafutwa. Wachamungu watakuambia kwa sasa imeadikwa kwa herufi kubwa na kwa wino mwekundu.
Wapagani watacheka tuuu

Anonymous said...

wapare watakuambia "Papa Yohane alipotembelea bongo tulimwomba akifika kwa mfumwa akaifute kabitha hiyo amri."