Tuesday, April 21, 2009

MAPIGANO TARIME/ SERENGETI
Baadhi ya majeruhi waliofikishwa katika hospitali teule ya wilaya ya Nyerere DDH kufuatia vita iliyoibuka kati ya kabila la wangoreme na wakurya katika kijiji cha Mosongo kata ya Nyamatare wilayani Serengeti ,ambapo inadaiwa watu wanne wamekufa na nyumba zaidi ya 20 kuteketezwa chanzo kikiwa ni uhasama unadaiwa kusababishwa na wizi wa mifugo. Watanzania tunafanyia mzaha haya mambo, sijui baadae itakuwaje. Yangu macho!!!

1 comment:

Anonymous said...

mpoki unasema kweli tupu, hivi hawa wakurya mi nadhani wana mapepo ya kuchinjana hawa, alafu wenyewe wanaona ni sawa na serikali nayo sijui imewashindwa au vipi.