Sunday, April 19, 2009

SIMBA VS YANGA
Jamani sitaki kueleza mengi lakini mechi imeisha 2-2 na sasa Simba inaom,bnea Mtibwa Sugar ishindwe ili iweke kuwapandisha ndege wachezaji wake kwenda CAF. lakini mpaka sasa Simba ni wa pili. Tunahitaji maombi. Lakini kwa walioona mpira wa leo wanajua mpira wa bongo umepand akichiozi. Hii ni mambo ya Maximio!!!!!

No comments: