Tuesday, April 21, 2009

MALECHELE AGONGA 75

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mjukuu wa Dr Malecela aitwaye Andrian Alex Wosawo .
Rais Jakaya Kikwete, Dr. Malecela(mb) na Mheshimiwa Anna Kilango Malecela(mb),ambaye ni mke wa Dr. Malecela wakiinua glass ya mvinyo kwa pamoja wakimpongeza Dr.Malecela kwa kutimiza miaka 75 ya kuzaliwa kwake.
JK akimpongeza Mzee Malechela.

Vingunge walihuduria sherehe ya Mzee malechela.

No comments: