Tuesday, April 21, 2009

NGOZI YA NYOKANimegundua kama wabongo tukiacha woga tunaweza kutengeneza fedha sana na hata ajira 'milioni tano' za Kapuya zikapatikana. Hebu cheki vijana wa Far East wanavyotengeneza malifghafi ya ngozi ya wadudu ambao sisi tunao kibaaaao!!!

4 comments:

Anonymous said...

mzee we sumo hii kali kuliko zote.

Anonymous said...

Mzee wa sumo hongera sana aya mambo ndio yanayotakiwa hii ndio inayoitwa AMKA NA UFUMBUE MACHO hapa nina maanisha umetufumbua wengi macho kuwa nini kinacho endelea ktk dunia hii kwenye mambo ya kujishughulisha na kusaka mshiko.

Anonymous said...

Teh teh teh.........acha niendelee kucheka!!! Kuziangalia hizi picha ilikuwa kazi. Kweli umeniacha hoi!!!:-)

Anonymous said...

HAPO INAKOSEKANA BIA BARIDI TU MAMBO YANGEKUWA SAFI.