Friday, May 15, 2009

ASKARI JWTZ KUZIKWA
Baada ya masalia ya askari watano wa JWTZ kambi ya Mbagala kutambuliw akwa DNA, mabaki ya miili yaho hiyo imetolewa jana tayari kwa kusafirishw akwenda kuzikwa makwao. Askari hao ambao walikuwa kwenye ghala la kuhifadhia silaha na kupoteza maisha wakiwa kazini ni pamoja na Meja A. Huhidin, Sajini Amelye Mbeyale, Koplo Phineas Mwambashi, Koplo Mohamed seif na Corporal Benard Mbilo.
. MUNGU AWALAZE PEMA WAPIGANAJI WETU!!!

No comments: