Tuesday, May 12, 2009

MAMBO YA KILWA
Kama kuna mtu amewahi kufika mikoa ya kusini hususan maeneo ya Kilwa mkoani Lindi basi utakubaliana na mimi kuwa Bongo kuna sehemu za kutisha. Hebu cheki Beach hii kwa chini then tatizo ni usafiri wa kwenda kwenye hako kakisiwa lakini watu, waume kwa wake wanakatisha bila taabu yoyote. Hivi hakuna mtu wa kuwekeza watu wakatuingizia Fedha jamani!!!?

2 comments:

Anonymous said...

Kilwa ni pazuri mno na Beach zake ni nzuri mno. Tatizo miundombinu Barabara ni mbaya/mbovu huyo, umeme hauna uhakika, muwekezaji atawekeza kweli?

Anonymous said...

kilwa ni pazuri sana kwa kweli tatizo ni wakazi wa kilwa wenyewe ni mamwinyi sana hawataki kujishughulisha wanataka kuka tu na kuowa wanawake wanne hebu tuachane na hiyo tabia tufanye kazi kwa moyo wetu wote tuijenge kilwa yetu.