Tuesday, May 12, 2009

Mkuu wa kamandi ya Afrika wa Jeshi la Marekani, Jenerali William Ward akisalimiana na kiongozi wa kikosi cha Tanzania kinachotarajiwa kwenda nchini Sudan kulinda amani, Luteni Kanali Ally Katimbe wakati wa makabidhiano ya vifaa vya kijeshi yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Wapiganaji 800 kutoka Tanzania, wanatarajiwa kujiunga na vikosi vya Umoja wa Mataifa na Afrika katika kazi hiyo.
Chini wapiganaji wetu wakiwa tayari kufanya mambo huko Darfur!!


1 comment:

Anonymous said...

Mzee wa Sumo, huyo Gen. Ward ndiye mweusi mwenye cheo cha juu kuliko wote katika US army kwa sasa