Friday, May 29, 2009


Being simple doesn’t cost a thing!Wazee wetu Afrika wanaweza kuwa simple kama hivi, ama ni blessing from above?

6 comments:

Anonymous said...

Yes.Julius Kamabarage, JK original!Simple kuliko hata huyu jamaa uliyemtundika na hakumsujudia mtu hata awe rais wa wapi!!!!!!

Anonymous said...

Kweli kabisaa..obama asingeweza usimple wa Nyerere..vp sumo umeshamsahau baba wetu wa taifa??

Anonymous said...

hamna jk original hakuwa na usimpo wowote ila roho mbaya.yeye atatembelea benzi wasaidizi wake pijo 504.yeye ataangalia tv nyumbani kwake. wananchi wake hataki waangalie.hakutaka vyuo vya elimu ya juu viwe vinghi.alitaka watu wake wawe na angalau elimu ya msingi tu.hakuwa simpo jk hata kidogo.ndio maana hata baadhi ya watoto wake hawana elimu ya kiwango cha shahada

Anonymous said...

mie nafikiri usimple upo moyoni, na si kualika waandishi wa habari halafu unaenda kula cafeteria na kupigwa picha, this can be political game, mtu simple hana makuu na hana tamaa, hivyo hawezi kupambana kwa gharama kubwa kuwa rais wa taifa kubwa, huyu ni mtu mwenye tamaa tu

Anonymous said...

Yetu macho, yetu masikio ASIPOBADILIKA.
Nimeshaziona dalili za jamaa kuchemsha, ingawa namwombea Mungu amsaidie, abadilishe mawazo.

Anonymous said...

Jamii forums leo haionekani kuna nini? Kuna mdau mwenye taarifa?