Monday, May 25, 2009

BUSANDA

Matokeo ya uchaguzi mdogo Busanda bado hayajatangazwa rasmi lakini taarifa zinadai hadi asubihi leo CCM ilikuwa inaongoza ikiwa na kura zaidi ya 30, 000; Chadema zaidi ya 21,000 CUF 900 na UDP 380. Taarifa kamili zitakuwa hapa kadri matokeo yatakavyotangazwa.
Source: Miruko