Tuesday, May 26, 2009

USHINDI WA BISANDA

Mgombea CCM akishangilia bila ya kuamini, cheki kasmile kake!
WanaCCM ndio walipagawa jana.
Ikabidi watulizwe kidogo wavute subira kabla yamatokeo.
Jamaa wa Chadema nao hawakuamini wakamzonga msimamizi kidogo wamkivuitu!
Mgombea wa Chadema ndio alikuwa na hasira, ilibidi aondolewe!! Asubiri 2010 (mwakani)

Ukweli ni kwamba CCM wameshinda kwa 29,242 Chadema 22,799 huku CUF na UDP waklisalia na 1,248!!! Samahani kwa matokeo feki ya jana

No comments: