Wednesday, May 06, 2009

LONGALONGA TIME!!!

Kulia ni Ofisa Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo bw, Jackson Mmbando akikabidhi moja ya dawati kati ya madawati 34 yenye thamani ya shilingi milioni 3 yaliyotowa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kupitia mradi wake wa Tigo elimu bora Tanzania anaepokea ni mwalimu mkuu wa shule ya msingi makutupora Bi, Nasemba Mavura na katikati ni Meneja wa Tigo Dodoma Bw Gabrieli Landa.
Meneja wa Tigo kanda ya Kusini Bw Gabrieli Landa akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi makutupora mkoani dodoma mara baada ya kampuni ya simu za mkononi Tigo kukabidhi jumla ya madawati 34 yenye thamani ya shilingi milioni 3 kupitia mfuko maalum wa Tigo elimu Bora TanzaniaNo comments: