Saturday, May 23, 2009

MASAIBU YA MBAGALA

Jamani mimi naipongeza serikali kwa kuitikia wito wa kuwasaidia wahanaga wa mabomu Mbagala, lakini kinachoshangaza huko kuna watu wanatoa huduma kama Scout, Majeshi na Hata Msalaba Mwekundu. Msaada wa Chakula kweli unatolewa lakini watu kama hawa ambao wamelemaa ama kuumia wakati wabomu, kweli ni haki kusafirishwa hivi? Halafu nasikia ile ni kazi maalum watu wanalamba mshiko. Si wangepelekewa misaada hata majumbani? Lakini hii ndio bonngo!!!

No comments: