Saturday, May 23, 2009

TANZANIA BILA UKIMWI

Sasa hivi wabongo tumeelimika ukisikia kupima imekuw akama kawaida, watu wanajipanga kupimwa!

1 comment:

carlos said...

hawa ni watu au watoto?
subutu yako,nenda kaweke container la angaza kariakoo au buguruni sehemu ya watu wengi arafu uone kama utapata mistari kama hiyo.