Friday, May 08, 2009

MBAGALA
Jamani Mbagala jana palikuwa pachungu baada ya wanajeshi kuamua kuteketeza mabomu yaliyosalia, watu waliamua kutimia na kwenda vitongoji vingine kukwepa milipuko. Lakini yote yalikuwa salama!!!

No comments: