Friday, May 01, 2009

SALAMU ZA MZEE WA SUMO

Jamani mi ni mzima nimeumia kiasi ingawa nimeumia kweli lakini sifi. Nashukuru kw akuniombea nadhani kifo kitakuwa baadae mwaka huu!!! nashukuru, Its just a joke tuko pamoja!!

1 comment:

Anonymous said...

Wewe mzee wa sumo unajua maneno yanaumba sasa unasema utakufa baadae mwaka huu yawezekana ikawa kweli hata bwana, shauri yako. Lakini pole kwa kuumia kihivyo