Friday, May 01, 2009

NGASA AOA
Mchezaji Mahili wa Taifa Stars na yanga Mrisho Ngasa amefunga pingu ya maisha leo jijini Dar es Salaam na Latifa. Sasa mimi sisemi lakini baadhi ya watu walidai kuwa amewahi sana kuoa, sijui nyie!!!


8 comments:

Anonymous said...

Kwani ukiambiwa wachezaji wa Tanzania kwa nini hawawezi kuendelea utashangaa nn wakati sababu zinajulikana?,utajiri wetu ni ngono au kuoa,na hyo dogo hawezi kama mwendo wenyewe ndio huu.Anakimbilia nn jamani hajapata ushauri nn,hv anadhani christiani ronaldo,ronaldhino,kaka wameoa?hawana haraka maana kipindi cha kucheza mpira ni miaka 17 mpka 30 kama una uwezo sana mpka 35 sasa yeye anawahi nn wkt hata 25 hajafikisha?Hv hana mtu wa kumshauri?

Anonymous said...

mwacheni bwana kila mtu duniani ana mipango yake, after all life expectancy ya bongo inaendelea kushuka, ngojeni kijana aonje kila analoweza kabla umri wa kufa haujafika, na pia tukumbuke mambo hayo husababishwa na mazingira ya mtu anayoishi na aliyokulia

Anonymous said...

kwani ngasa ana umri gani mpaka mseme kawahi kuoa?..na huyo mtoa maoni hapo juu anaesema angesubiri mpaka 35 ndio aoe..aache unafiki,afahamu kuwa ngasa akiwa kwenye ndoa ndio ataweza kutimiza malengo yake kwa sababu kwanza atakuwa hafanyi uzinzi na kubadilisha wanawake....kama kwisha kwa viwango vya mpira basi wachezaji wa england wote wangekuwa na viwango duni kwani wanakuwa na wapenzi toka wakiwa under age...walcott ana mpenzi wake,rooney ameoa ana miaka 22 na anatarajia kupata mtoto,shaun philips ana girlfriend na ana mtoto,nikiwaorodhesha wote hapa hapatotosha...hivyo jambo alilofanya ngasa hajakosea kabisa,tatizo letu wabongo ni kula kulala mpaka katika age ambayo inabidi uwe na maisha yako,hivyo ukiona mtu katika age ndogo tayari kishafanya mambo ya maana basi mnajifanya washauri nasaha kwa kuleta fitina zenu....mwacheni ngasa ale bata..!

Anonymous said...

kwani kuoa na kucheza mpira wapi na wapi mbona ulaya wanaoa wakiwa wadogo na hatusemi kitu wacha unafiki kwenye mipingo ya mtu na kwa taharifa yako kaka anao watoto
wawili kwa huyu awala wake Ronaldo cha ngono sana hapo man u mbona hushuke kiwango mpaka analala na ma-sister sita usiku mmoja ndoo hayo mnayataka afanye.shauri jambo baya lakini kuoa jambo zuri kabisa cha msingi aendeleee na mazoezi kama kawa ni hayo tu wadau.

Anonymous said...

kwani kuoa na kucheza mpira wapi na wapi mbona ulaya wanaoa wakiwa wadogo na hatusemi kitu wacha unafiki kwenye mipingo ya mtu na kwa taharifa yako kaka anao watoto
wawili kwa huyu awala wake Ronaldo cha ngono sana hapo man u mbona hushuke kiwango mpaka analala na ma-sister sita usiku mmoja ndoo hayo mnayataka afanye.shauri jambo baya lakini kuoa jambo zuri kabisa cha msingi aendeleee na mazoezi kama kawa ni hayo tu wadau.

CHIBIRITI. said...

Hongereni sana Ngasa & Latifa, ndo mtatulia vizuri na maisha.Na kuoa sio mwisho wa kucheza mpira kabisa, Ulaya wachezaji wengi sana wadogowadogo wameoa, kwasababu kuoa ni uwezo wa mtu na nimipango ya mtu, sasa kama maisha yapo fiti kwanini asioe? Hongera sana Ngasa usisikilize maneno yasio kuwa na mpango, jitahidi kuwa mwaminifu katika ndoa.Na jitahidi kuinua soka zaidi na zaidi, sasa umepata mke wako kabisa achana na wasichana.
Salamu sana.
Chibi.

Anonymous said...

hapo hakuna kupona swine fever!

Anonymous said...

hongera sana kwa kuoa mungu awajalie mpate watoto mapacha kabla ya yote