Friday, May 01, 2009

YANGA VS SIMBA

Simba na yanga leo wamekabidhiwa magari yao, kikubwa ni kwamba wamepata mawili Coaster an Hiace!!! watu walizomea walijua wangpewa AScania Marcoopolo. lakini angalau wanaweza kumove mjini!!! Big up TBL!!! Vijembe vy aMadega na dalali sisemi kikubwa usafiri.
No comments: