Saturday, May 09, 2009

STARS NA MABINGWA WA CHAN
Ndugu zangu hata kusema sitaki, ni kwamba Tanganyika imelambwa 2-0 leo katika Uwanja wa taifa sijui main Stadium lakini ndio huko. Jamaa wameonyesha kweli ni mabingwa wa Chan though, tumejitajidi kwa kiasi kikubwa bila ya kuvunjika moyo wachezaji. Wamepigana mpaka kufa lakini kwa kuwa bahati haikuwa yetu. Kuna mafisadi wachache walizometi taifa Stars laskini Maximo kasema wanaozomea leo ndio watashangilia baadae.No comments: