Saturday, May 09, 2009

1 ST ANNIVERSARY


Tarehe kama ya kesho mwaka jana, Mr Carlos Raphael Muhuga alifunga ndoa na Layla ktk kanisa la Mtakatifu Joseph na receiption ilikuwa Msasani Beach, ukumbi wa JKT."Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kujujalia kufikia tarehe hii tukiwa pamoja na salama na zaidi ya yote katujalia Mtoto mmoja Roberto Carlos Muhuga" TUNAWATAKIA NDOA NJEMA ULIYOJAA UPENDO. MUNGU AWABARIKI

3 comments:

Reggy's said...

Mungu awape maisha marefu katika ndoa yao...akichounganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe.

Anonymous said...

naona mmejitangaza kila blog wanandoa??? acheni sifa za kijinga

danny said...

mbona ukifa tunakutangaza redioni wote mjue why this tangazo hate you!mind your business