Wednesday, May 06, 2009

ZOMBE LEO

Kesho ndio siku ya mwiso kwa mawakili wa akina Zombe na waendesha mashtaka kumwaga hoja ili kieleweke, ama wafungwe ama wapone. Wanasheria wote wanatakiwa kutumia shule zao kufanikisha upande wao. Sijui itakuwaje, Inshaallah!!!

No comments: