Monday, June 22, 2009

FORODHANIKama kuna sehemu Tanzania iliyo na mapochopocho ya kutisha ni hapa, Kama kuna mtu amefika Unguja na hajatembelea Forodhani huyo basi atakuwa hajafika kwani hata Urojo atakuwa hajaonja!

1 comment:

freddy macha said...

Nashukuru bwana mkubwa umeiweka hii picha tena umenikuna sana, maana majuzi tu nilikuwa hapo Forodhani.
Sasa kwa wasiofahamu, usiku huwa hayo mambo uliyoonyesha. Je saa za jioni? Machwea jua? Kuna jamaa wanatia tizi baharini, wanafanya mazoezi. Mchana je? Upepo unavuma, familia zinapita wake kwa waume, watoto kwa wazee.
Mzee wa Sumo...
Weka picha nyingine basi za mchana ukamilishe Mduara wa Forodhani. Taf-adhal.