Monday, June 22, 2009

STREET DANCE

Duh! jamani weekend ilikuwa kali kule Unguja kumbe vijana wanajua kusakata kwelikweli katika mchuano wa Street Dance ingawa ulifanyika ukumbini pale Ngome Kongwe vijana wa Kiunguja walijituma saaana!! Big Up!!!

No comments: