Thursday, June 18, 2009

JOHN TALL AOA
John 'Tall' Momadi wa Mbezi na mkewe, Scola Massawe wakati wa harusi yao hivi majuzi katika kanisa la Assemblies of God la mama Rwakatale na kufuatiwa na sherehe Bwalo la Polisi Oysterbay Dar es Salaam. Big up kwao!!!

1 comment:

Anonymous said...

acha ufala yaani hii harusi ina karibia wiki mbili sasa wewe ndo waweka picha???