Monday, June 22, 2009

KISOMO CHA HITMABaadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakisoma Hitma ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya MV Fatih iliyozama hivi karibuni katika bandari ya Zanzibar katika msikiti wa Ijumaa Malindi. Picha ya Chini ni nahodha wa meli hiyo Kapteni Ussi.

No comments: