Monday, June 22, 2009

MOTO! MOTO!

Huwa najiuliza kwa mfano unatoka kazini unakuta nyumba imeteketea namna hiii inakuwaje. Tatizo ni ujengaji wetu, ama mitaa ama ukosekanaji wa huduma bora za zimamoto? nashindw akuelewa mateso haya mpaka lini yataendelea.

No comments: