Monday, June 22, 2009

MAJI DAR

Kuna wachina wamekuwa waionekana wakimwaga mabomba ya maji katika mitaa ya Dar es Salaam kwa miaka miwili mitatu. Sasa nasikia Mbezi mabomba hayo yanamwaga, tabata yamefungwa lakini bado. Kama mradsi huu ukikamilika nadhani sasa watu tutaanza kutumia shower tena baada ya miaka. Hasa sisi wa Tabata.

No comments: