Wednesday, June 17, 2009

MSONGAMANO

Yaani madereva wa kibongo walivyowabishi hata wakikuta sehemu haipitiki wanalazimisha sasa hali ikigoma kama hivi wakati kila mtu anatanua inakuwaje? Hapa ni Mandela road jana.

No comments: