Tuesday, June 23, 2009

THE UTAMU

Kumbe hizi habari za 'Ze Utamu' ni uzushi tu kila muhusika anagoma kuthibitisha sasa sijui ukweli uko wapi? Lakini polisi wenyewe wametoa nje kumkamata hjuyo bwana! Sasa najiuliza hii ni kugelesha ili kufumba watu macho kwamba polisi wanaweza kudhibiti blogs na mitandao ama? naomba mtu anayemfahamu Peter atuelezeee maana hii inakuwa pasua kichwa! Polisi wenyewe wamekataa kumkamata sasa hapa issue ni nini?

4 comments:

SIMON KITURURU said...

Kama ni uzushi basi wamemuharibia sana jamaa!Kazi kwelikweli!

Anonymous said...

Hawa jamaa wazushi sana. Mijitu mingine bwana! Issue ndogo tu kukimbilia kukamata watu kwanini????

Anonymous said...

Huyu Male nilikuwa last weekend akawa anashangaa kwa nini jamaa wanamzushia namna hii,ingekuwa ni huku kwetu jamaa angechukuwa hela nyingi tu kwa uzushi huo,hata na wewe Bukuku ungeingia mahakamani ukamuliwe kidgo vijisenti

Anonymous said...

Bukuku, anuani ya anayetuhumiwa ipo ktk mtandao, kwa nini msimtafute aliyetuhumiwa apate haki ya kujieleza. Anuani ktk mtandao inaonyesha mpaka namba ya nyumba gani anayoishi anayetuhumiwa, nenda google halafu tia majina yake yote, anuani inaibuka.