Wednesday, July 22, 2009

MWAKYEMBE AREJEA BUNGENI

Mbunge wa Kyela , Dr Harrison Mwakyembe akiw aBungeni jana baada ya kurejea kutokana na masahibu ya ajali ambayo ilimpata na kuletea jeshi la polisi sifa ya kutoa ripoti ya uchunguzi kwa siku moja!!!
Sasa aimeingia akitaka uchuinguzi wa vurugu zilizosababisha uharibifu wa mali na vifo kwa wapigakura wake wiki iliyopita. Pamoja na polisi kuunda kikosi kazi kuchunguza, Mwakyembe anataka tume huru. Upo hapo?

1 comment:

ROGERSBIZ said...

Nice Blog.