Wednesday, August 05, 2009

MAMBO YAMEANZA PEMBA

URITHI WETU: Mama na mwana wakienda mkutanoni kumsikiliza maalim Seif Shariff Hamad huko Wete viwanja vya Jadida.
Wananchi wakimsikiliza Maalim katika mktano wa hadhara.
CUF Wamewasha moto wanadai watu wao wamekuwa hawaandikishwi katika daftari la kudumu la kupiga kura kwa kuwa hawana vitambuklisho vya ukaazi. Sasa wapiga kura wamegoma kujiandikisha katika jimbo la Ole baada ya vurugu siku mbili, ZEC wamesitisha zoezi!! Sasa hapa itakula kwa nani CCM ama CUF?

No comments: