Wednesday, August 05, 2009

FISI AMA MBWA?

Jamaa anachuna mnyama sijui kama ni fisi ama mbwa lakini atamla tu!!!

2 comments:

Anonymous said...

Inaonekana kuwa ni fisi,siku nyingine utuhabarishe mahari ulipopiga picha za namna hii ili tuweze jifunza zaidi mazingira ya mahari husika.

ckk said...

huyu ni mbwa na picha hii ilipigwa Iringa.
Ni baada ya mbwa kugongwa na gari ndugu huyu akakimbilia kisu na kuanza kumchuna ikidai kuwa bado wamoto.