Wednesday, July 15, 2009

ULINZI

Ulinzi maeneo ya mipakani kwa sasa unatisha yaani hili gari la polisi linatumika kuescort magari katika msitu wa Biharamuro mkoani Kagera. Wanyamulenge kweli kiboko sijui wakikutana inakuwaje!!?

5 comments:

Anonymous said...

Ni afadhali kwa uamuzi huu,maana eneo hili kweli linatisha sana, kwa hiyo polisi kutumia silaha za aina hii inatia moyo. kwa wale tunaosafiri kwa kutumia njia hii habari hizi ni za kututia moyo sana.
Hongera mkuu wa polisi kwa uamuzi wa kutumia silaha nzito, ili kulinda maisha na mali za wasafiri.

Anonymous said...

Katika kumbukumbu zangu aliyeweza kukomesha ujambazi huko ni mmoja tu kati ya makamanda wote waliopelekwa mkoa huo, ni kamanda Venance Tossi ambaye sasa ni Depute Commissioner - Operations, nakumbuka wakati huo tulikuwa tunasafiri bila wasiwasi kwa sababu yeye aliwafuata huko huko porini wanakojificha na kuwasambalatisha, sasa hawa ma RPC wetu wa sasa wao wako mjini tu wakizunguuka ma L/Cruiser unategemea nini kama siyo majambazi kuwa na serikali yao huko porini walikoweka makazi.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

hapa sawa, kidogo inatia moyo hii lakini kama alivyosema mdau, Tossy ndio kiboko yao ikiwezekana ajengewe nyumba huko huko msituni!

Anonymous said...

jmaa hapo na silahaa bado kukam
ilika kwani hana vazi la kuzuia risasi,bajamulenge wakippiga sehemu moja muhimu washindi wao,apewe mavazi.

indavao said...

hi... just dropping by!
http://www.fileafro.com
http://mobileandetc.blogspot.com
http://kantahanan.blogspot.com