Thursday, July 02, 2009

ZENJI GIZAHii ni hali kati anyumba nyingi za wakaazi wa Unguja yaani Zenji baada ya umeme kuleta hitilafu katika baadhi ya maeneoio likiwemo eneo la Mji Mkongwe ambalo ni kivutio kikubwa cha watalii kwa sasa. Hata tamasha la Ziff liligoma juzi kabla ya kupatikana jenereta!!!

No comments: