Tuesday, June 30, 2009

TAMASHA LA ZIFF, ZENJI

Amani Enssemble kutoka bara wakifanya vitu vyao.
Swahili Vibes wakatoa mambo ya Pwani.

Karafuu Band pia wamo!

Hawa ni totoz wa Karafuu band!!

Karafuu hao, ulifikiri wabara?


Tamasha la ZIFF ndio hivyo limeanza niko unguja nitakuwa nawapatia kidogokido, kil akunako majaaliwa. Inshallah!No comments: