Tuesday, June 30, 2009

MAZISHI YA HAROUB OTHMAN

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Profesa Haroub Othman baada ya swala jana katika Msikiti wa Mlandege mjini Zanzibar.
Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha akiongioza waombolezaji kumzika marehemu.

Waombolezaji wakimzika Profesa ikiw ani safari yake ya mwisho kwenda huko
Mamia ya waombolezaji wakitoka katika makaburi ya wangazija yaliyoko Chuwini nje ya mji wa Zanzibar baada ya mazishi.1 comment:

Anonymous said...

Hakika wote ni wa Mwenyezimungu na kwake sote tatarejea, kilichobaki ni kumuombea mwenzetu huko aendako inshaalah mwenyezimungu amsamehe na kumuepusha na adhabu zake zote amina. Na tuliobaki tusijisahau na uzima kwani huwezi jua lini nawe utaondoka. Mungu atusaidie tuwe na mwisho mzuri AMINA.