Thursday, August 06, 2009

AJALI AJALI
Wahudumu wa afya hospitali ya Temeke wakiwahudumia majeruhi Felix Yona na Shafii Shaaban waliojeruhiwa bbaada ya tanki la mafuta walilokuwa wakilichomelea kulipuka jana na kusababisha kishindo kikubwa kama bomu nakufanya watu wafanyao kazi katika tawi la NMB Temeke na maeneo jiraji kutimua vumbi wakifikiri bomu jingine la majambazi mtaanii!!!

1 comment:

Anonymous said...

kwani bongo hamna health and safety makazini, kiasi cha kshindwa kufanya risk assessment ya kazi iliyokuwa ikifanyika kabla ya kuamua kuifanya?