Thursday, August 13, 2009

STARS INATISHA


Taifa Stars jana ilifanya mambo kama kawaida kwa kuwanyuka wanyarwanda bao 2-1 katika mchezo uliofanyika mjini Kigali. Mabao yalifungwa na Jerry Tegete na Rashid Gumbo ambao ni chipukizi yaliwakosesha usingizi wanyarwanda baada ya kutoka vichwa chini kutoka uwanja wa Nyamilambo.
Murakoze Chaane!!

No comments: