Sunday, August 16, 2009

HARUSI ZA BONGO BALAA
Mambo ya bongo shida tupu binti wa watu anawahi kwenda kuolewa akakumbana na bonge la foleni lililodumu kama saa nne maeneo ya Tabata katika barabara ya Mandela. dada yakamshinda akaacha gari maalum na kuwahi kibajaji ili akafunge ndoa.. Sasa imagine kama ungekuw aunawahi ndege na ni mara ya kwanza kwenda ng'ambo!!!

3 comments:

Anonymous said...

SUMO unalala sana kulikoni?

Anonymous said...

Bro, picha zako ni nzuri sana. Hongera nyingi.

Mdau,

Helsinki, Finland.

Anonymous said...

nimekubali nimeingia leo blog hii lakini nimependa unajituma sasa hivi utawapiku wanao bweteka tutahamia huku update kila baada ya saa moja au mbili utaona,