Monday, August 17, 2009

Watanzania wote wake kwa waume wansikilizia hukumu ya aliyekuwa RPC wa Rukwa(usishangae) Abdallah Zombe ambaye jaji ameshamakliza kusiom amwenendo wa kesi na muda mfupi baadae hukumu itatoka.
Wengi wanatamani afungwe lakini dalili zinaonyesha kuwa anaweza kuwa huru leo hii na kurejea mtaani.
Habari kamili muda mfupi ujao:

No comments: