Monday, August 17, 2009

ZOMBE FREE

Zombe leo mahakamani alipoingia.
Wazee wa Baraza waliomuokoa!
Wananchi waliokuwa wakishabikia na kufurika mahakamani!
Jamani najua kuna watu hawawezi kuamini wengine wamenuna wengine wanalia. Lakini Ukweli ni kwamba kuna wachache wanaochekelea kusikia kamanda Zombe kaachiwa huru kwa mashitaka ya mauaji na si yeye tu bali washtakiwa wote.
Alipotoka nje ya mahakama alilakiwa kama shujaa na baadhi ya watu wakiwamo maaskari ingawa wengie walikuwa wamenuna kichizi.
Ukweli ni kwamba yuko huru na ameondoka kama kamanda wa polisi (RPC) ulinzi kibao huku akiwa na ulinzi wa kimulimuli cha polisi na msafara wa watu kibao. Kweli sheria Msumeno

Picha zaidi zaja kuelezea tukio lenyewe!!!

'Glory be to the Lord'

1 comment:

Anonymous said...

mkuu unatukwamisha tunajua ulikuwepo kwenye party ya hasheem pale ubalozini, mbona picha unabania? wenzio wanakupiga bao. Ujue watu wanahamu ya kuona ziara ya hasheem bongo.