Thursday, August 20, 2009

BABA ASKOFU AFARIKI

Askofu wa Mkuu wa Jimbo Kuu katoliki La Mwanza Mhashamu Petro Mayalla amefariki dunia jana. Pichani anaonekana akitoa saktramenti kwa waumini wa kanisa hilo.

No comments: