Thursday, August 20, 2009

HASHEEM IN DARHashim, sijui ni Hasheem akiwa na washkaji Patrick Nyembela aliyekuw aakisukuma gozi Vijana Bull ya DSM. mmmh kweli kimo kinalipa!! Katikati akiwaana mgogo wake na mshikaji Mark na chini akibisa akihokiwa na waandishi. Itabidi waandishi wa michezo wajifunze kutembea na vistuli!!

2 comments:

Anonymous said...

Mkuu Mpoki hapo juu kwenye maelezo umeniacha hoi sijui ulikuwa una haraka kuandika au kuna jamaa alikuwa anakufukuza kwenye computer yake? Mimi sijui wewe wajua dah!!!!! spelling mkuu.
Mdau Fidel

Anonymous said...

tumechoka na habari za hasheem kah!
akuna habari zingine?