Thursday, August 27, 2009

HASHEEM LIVE ON CHANNEL 5 (EATv)

Ule wakati wa Hasheem kukutana na tolu mwingine wa Bongo uliwadia jana jioni alipokwenda kwenye kitpindi cha B Connekted cha Channel 5 na ilikuwa bomba sana!!!

2 comments:

Anni said...

ebwana uyo jamaa kumbe hasheem mwenyewe hapimi ulefu wake eh?au nimeona vibaya_

Anonymous said...

mbona huyu msichana wa kwanza kutoka kulia, analazimisha tabasamu, Janeth saMsoni, umebadili jina? ebu tufafanulie vizuri Boke limetoka wapi. by the way, BIG UP MAMAA, UPOOOOOO JUUUUUUUUUUUU,