Friday, August 14, 2009


Jamani usafiri wa bongo wa kugombania kichizi yaani mama kaingia kwenye treni kaacha mtoto chini ili awahi siti ama mazoea. Kweli reli ya kati ni muhimu sasa sijui tumlaumu mwekezaji, serikali ama wafanyakazi wanaodaiwa kuhujumu ili kudai chao?

1 comment:

Anonymous said...

siku itatokea mama anaondoka na gari moshi na mtoto anabaki kituoni.......sijua atasemaje kwa mzazi mwenzako huko mwisho wa reli..ujiji kigoma!