Friday, August 14, 2009

KIMBEMBE UBUNGO
Kwa ndugu zetu waliokuwa wakisafiri kuelekea bara leo wamekiona ch amoto baada ya madereva kugoma kupinga mwenzao kufungwa miaka 30 kw akusababisha ajali iliyoua mtu.
Lakini baadae mgomo uliisha na manasi yaliendelea na safari kam asaa tano asubuhi, kinachonifanya nishangae ni huo mwendo watakaotumia kufika Mbeya ama Songea. Mungu atuepuishe na ajali nyingine!!!

No comments: