Saturday, August 22, 2009

MAISHA YA DAR


Jamani maisha bora nadhani tunapata wachache cheki watoto walivyopinda wanaomba barabarani zamani walikuwa wazee sasa ndio vijana hawa wameingia!! Imagine wakifikia miaka 21 tutapita mitaani kweli?

1 comment:

Anonymous said...

Mr.Sumo hii ni hali ya kusikitisha sana kuona kwamba TAIFA linasahau majukumu yake ya kuwahudumia the most vulnerable member of our society, na ambao ndio taifa la kesho.

Umeuliza kwamba wakifisha miaka 21 kama tutapona? miaka 21 nadhani ni mbali sana, kanzia miaka 15 tu, kila mtu ataona madhara yake.
Ubinafsi katika maisha unachangia kwa kiasi kikubwa tatizo hili; INDIVIDUALISM: everyone is expected to look after himself and his or her immediate family only ndio yamekuwa maisha yetu. Wako wapi wajomba, shangazi, makaka, wakinadada, na mabibi na mababu wa hawa watoto?

Mzee SUMO, haya ndio yaliyokuwa maadili yetu, kwamba kama ndugu ndani ya familia anashindwa malezi, au emefariki, familia yake wanajitokeza kuchukua jukumu hili. Ndio maana hatukuwa na tatizo hili hapo wali, leo kila mtu anaiga maisha ya kimboleo na kusahau asili na majukumu yetu.

Wakikuwa hawa hawatakuwa na huruma wala mapenzi na mtu yoyote.