Monday, August 24, 2009

HASHEEM NA BASKET YA BONGO
Hasheem anachengua baada ya kucheza katika bonanza la timu yake ya University Outsiders hadi watoto nao wameanza kuonyesha vipaji vyao, nadhani umewavuta wengi na kikapu utakuwa juu baada ya hapa!!

No comments: