Thursday, August 27, 2009


Wanaosadikiwa kufanyiza Temeke NMB hawa hapa akiwemo mjeshi mmoja sijui ndio mtaalamu wa milipuko? Halafu bongo bwana mtu na pingu anamkwanja mkononi!!

1 comment:

Anonymous said...

Hawa dawa yao kamba shingoni nafikiri hii Bongo inatakiwa iwe na FBI kali sana kuwathibiti watu kama hawa.