Wednesday, September 16, 2009

ALMASIWananchi wakijaribu kupata almasi katika machimbo mapya yaliyoko Ng'wanangwa wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza. basi sikia ikikutwa nyingi kama mwekezaji hajanunua eneo!!

1 comment:

Anonymous said...

Ni bora kuchimba hivi kimasikini lakini tufaidishe taifa kuliko kuleta wazungu waache maandaki na kuondoka na madini yetu.

Hatuna viongozi Tanzania jamani. Tubadilishe vipi mfumo? Tatizo ni chama au fikra mgando? Vijana mko wapi; jitokezeni tafadhali. Ninyi mtakuwa na fikra za mbele, za kisasa na endelevu.

Tafadhali,tuokoe kidogo kilichosalia